Dkt.Kikwete Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete Akimtunuku Shahada Ya Uzamivu Katika Uchumi Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya
Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba Katika Mahafali Ya 47 Ya Chuo Kikuu Cha Dar Es
Salaam Leo Jijini Dar Es Salaam. Kushoto Ni Makamu Mkuu Wa Chuo Hicho Profesa
Rwekaza Mukandara.
Wahitimu Wa Shahada Ya Sayansi Ya Uzamili Katika Masuala Ya Jiolojia Wakifurahia
Mara Baada Ya Kutunukiwa Rasmi Shahada Hiiyo Katika Mahafali Ya 47 Ya Chuo
Hicho Leo Jijini Dar Es Salaam.
Waziri Wa Katiba Na Sheria Ambaye Pia Alikuwa Amidi Wa Shughuli Za
Sherehe Za Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Akimkabidhi Mrithi Wake Profesa
Boniventure Rutinwa Zana Ya Kutumikikia Nafasi Hiyo Wakati Wa Mahafali Ya 47 Ya
Chuo Hicho Leo Jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Profesa Rwekaza Mukandara Akitoa
Neno La Shukrani Mara Baada Ya Zoezi La Kuwatunuku Degree Zao Wahitimu Wa Chuo
Kikuu Cha Dar Es Salaam Leo Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi Ya Wahitimu
Wakiwa Katika Nyuso Za Furaha Kufuatia Kuhitimu Masomo Yao Kama Walivyokutwa Na
Mpiga Picha Wetu Katika Mahafali Ya 47 Ya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Leo.
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete Akiteta Jambo Na Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu
Nchemba (Kulia) Mara Baada Walipokutana Katika Mahafali Ya 47 Ya Chuo Kikuu Cha
Dar Es Salaam Leo Jijini Dar Es Salaam. Mwigulu Nchemba Nimiongoni Mwa Wahitimu
Waliotunukiwa Shahada Ya Uzamivu Ya Uchumi Katika Mahafali Ya 47 Ya Chuo Kikuu Cha
Dar Es Salaam Yaliyofanyika Leo Mlimani City.
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha
Dar Es Salaam Na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa Katika Picha Ya
Pamoja Na Viongozi Wa Serikali Waliotunukiwa Shahada Ya Uzamivu Katika Mahafali
Ya 47 Ya Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Leo Jijini Dar Es Salaam. Waziri Wa Mambo
Ya Ndani Ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba Na Mkurugenzi Mkuu Wa Mamala Ya Usimaizi
Wa Mifuko Ya Hifadhi Za Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isack.










