SAVE THE CHILDREN: YAWAJENGEA UWEZO WAANDISHI JUU YA HAKI ZA MTOTO JIJINI DAR
Mtaalamu wa
Masuala ya Haki za Watoto kutoka nchini Thailand anayefanya kazi na Taasisi ya
Save The Children nchini, Yui Mutomol akitoa Elimu kwa Waandishi wa
Habari waandamizi na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika semina juu ya haki za mtoto iliyoandaliwa na taasisi ya save the children december 6, 2017 jijini Dar es salaam.
Mwanaharakati
wa Haki za Watoto nchini na Mkurugenzi wa Taasisi ya Msichana Initiative ,Bi. Rebeca Gyumi akizungumza na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo
mbalimbali vya Habari haki za Mtoto na vita dhidi ya Ndoa za
Utotoni zinazoendelea nchini
Mtaalamu wa kupigania Haki za
Watoto kutoka Taasisi ya Save The Children, Bi. Neema Bwaira akizungumza na
Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo Mbalimbali vya Habari hapa nchini
wakati wa Semina juu ya haki za Mtoto Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Waandishi Waandamizi
na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa Makini wakati wa
semina juu ya haki za Mtoto iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children
Jijini Dar es Salaam









