MAJALIWA Akutana Na Rais Wa kampuni Ya Star Times Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Bw. Pang
Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akiingia bungeni
Mjini Dodoma Aprili 3, 2018 .
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Makampuni ya Star Times
Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao,
ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.Kulia ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao Bo. Wapili
kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Makampuni ya Star Times Group,Zhang Ye
na kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya Star Media Tanzania Limited,
Juma Suluhu Sharobaro.
Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu.






