PICHA: Rais Magufuli katika Ibada Ya Kumsimika Askofu Jimbo La Katoliki La Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaack
Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu
Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo April 8, 2018.







