Breaking News

Wafanyakazi Wa UBA Tanzania Wajitolea Kuvijengea Uwezo Vikundi Vya Ujasiliamali Kupitia Mradi UBA Foundation.

Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakiwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha Mshikamano Yombo Vituka Dar Es Salaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha Stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi
Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakikanda Unga kuwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha mshikamano Yombo Vituka Dar es Salaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi
Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakiwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha mshikamano yombo vituka daresalaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi