Breaking News

KAMATI MAALUM OFISI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YATEMBELEA TMA

Dar es Salaam
Kamati Maalum Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar imetembelea Ofisi kuu ya Utabiri, TMA na kupata uzoefu wa utoaji taarifa za tahadhari za hali mbaya ya hewa.