Breaking News

SERENGETI SAFARI MARATHON YAZINDULIWA RASMI UKEREWE

Serengeti Safari Marathon imezinduliwa rasmi wilayani Ukerewe Oktoba 24, 2026 huku mamia ya wananchi wa wilaya hiyo wakijitokeza kwa kushiriki mbio hizo.  

Uzinduzi huo umeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Cde. Christopher Ngubiagai kwa kukimbia kilomita 5 zenye lengo la kuhamasisha jamii kuona fursa za uwekezaji na kufungua uchumi kupitia sekta ya utalii ndani ya wilaya ya Ukerewe.