Breaking News

PICHA 15: BOTI ZINAZOTUMIA UMEME WA MIONZI YA JUA (SOLAR)

Sayansi na teknolojia inazidi kukua kwa kasi na katika pitapita zangu leo June 21 2016 nikakutana stori ya boti za solar . Boti hizi kutumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar Power) katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani, Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswiss. Picha za boti hizo ili na wewe ujionee.

1. Boti hii inayotumika Uswiss
switzterland
 
2. Boti hizi zinatumika  Australia  aa
australia


ck63
 
3. Boti hizi zinatumika  Marekani
Sun21 with Manhattan Skyline


ameme
 
4. Boti hii inayotumika India india
 
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
TÛRANOR-PlanetSolar-Catamaran-1-706x369


tt
ttt


tttt
 
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano Ufaransa
ufaa


ufa


ufaaa

ufafa

                                                          Creadit Shunda Blog