Simu Nyingine Kali Ikiwa Ya Kwanza Kutoka TECNO.
TECNO
kampuni ya simu za mkononi iliyojizolea umaarufu barani Africa na Mashariki ya
kati kupitia uzalishaji wake wa simu janja (Smart Phone) imeendelea kushika
chati katika masoko mbalimbali barani Afrika.
Kama
ilivyo kwa kila mwaka, kampuni ya TECNO huzindua simu mpya na hua ni muendelezo
wa matoleo yaliopita.
Kwa
mwaka huu TECNO wanaachilia simu ikiwa ni muendelezo wa simu aina ya CAMON.
Camon imekua moja wapo ya simu janja (smartphone) pendwa sana kwa wadau kwa
mwaka 2017!
Wanatarajia
kuachilia simu hio ndani ya miezi ya kwanza (Januari – March) mwaka huu na
itakua ni simu ya kipekee kwani itakua na vigezo maalumu kulinganisha na simu
zingine zilizopita kabla!
Kadri miaka inavyosogea
na kuendelea teknolojia ya simu, miundo ya simu, vigezo, mahitaji na matumizi
ya simu hubadilika na kuongezeka, hivyo kama kampuni imekua ni jambo muhimu
kuweza kutoa simu zinazokidhi mahitaji ya wadau na watumiaji wa bidha zake
hivyo kutoa toleo jipya kabisa!
Je,
ni simu gani na itakua na vigezo/muundo gani?
Fuatilia
kurasa za TECNO katika mitandao ya kijamii na tovuti yao kujua zaidi!



