Breaking News: Madiwani Watatu CHADEMA Wajiuzulu Ngorongaro na kutimkia CCM.
Kuna
taarifa kutoka Ngorongoro Kuwa Madiwani watatu wa CHADEMA pichani wamejiuzulu udiwani na nyazifa zao zote ndani
ya chadema na kutagaza kujiunga na CCM.
Madiwani
hao ni Daniel Olkery Diwani wa kata ya Ngorongoro, Lazaro Saitoti Diwani wa
kata ya Ngoile na Sokoine Moir Diwani wa kata ya Alaitole.
Madiwani hao wamesema kuwa uamuzi wao huo umekuja baada
ya kujiridhisha na kazi kubwa inayofanya na serikali ya awamu ya tano hini ya
Rais Dk John Magufuli hivyo kuamua kumuunga mkono.




