Wakili Fatma Karume Vijana Ndio Chachu ya Mabadiliko.

Mwanasheria wa kujitegemea Bi. Fatma karume amewataka vijana na wajumbe wa mkutano mkuu wa Ngome ya vijana wa Act-Wazalendo kuchagua viongozi ambao watakua chachu ya kufanikiwa kushika na kuendesha serikali.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa kwanza wa uchaguzi wa Ngome ya Vijana wa chama hicho jijini Dar es salaam alisema vijana ndio chachu ya mabadiliko katika katika taifa lolote duniani hivyo kuwataka kuchagua viongozi wenye fikra za kuendesha serikali na sio kutamani kumiliki dola.
"Chama chochote cha siasa kazi yake ni kuendesha serikali kwa mujibu wa sera zake ambazo walizinadi kwa wananchi na kwa mujibu wa katiba yake" Alisema Bi. Fatma karume.
Alisema kumekuwepo na fikra kwa baadhi ya viongozi hasa hususani wa chama tawala kuhusu tofauti kati serikali na dola.
"Dola inahodhi serikali pamoja na mihimili yote mitatu, ila kazi ya chama cha siasa ni kuendesha serikali ikiwa chama ikiwa itatokea chama kinacho ongoza Serikali kuhodhi dola sitasika kukikemewa" Alisema