Breaking News

PICHA:Shuhudia Mapokezi ya Profesa Lipumba Dar.. Mji Wasimama kwa Masaa

Mamia ya wanachama na wafuasi wa chama cha wanachi CUF waliojitokeza jiji Dar es salaam kumpokea mwenyeikiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba ambaye amewasili akitokea jijini Dodoma kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya urais Tanzania bara.

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba akiongea na mamia wa wafuasi na wanachama wa chama hicho waliofulika makao makuu ya chama hicho buguruni jijini Dar es salaam.


Msafara wa Mamia ya wanachama na wafuasi wa chama CUF wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu ambae pia ni mgombea nafasi ya urais Tanzania Bara kupitia chama cha CUF akipita katika mitaa ya k.koo kuelekea makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam.