Breaking News

MUSIBA Awataadhalisha Watanzania Kuwa Makini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

MWANAHARAKATI huru Cyprian Majura Musiba ametoa wito kwa watanzania hususani vijana kuwa makini na kujiepusha na genge la wanasiasa wahuni ambao wanaaweza kusabanisha kupoa kwa tunu ya amani tyuluyo nayo.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, Cyprian Musiba alisema kumeibika wanasiasa si wazalendo ambao wanataka kutumia uchaguzi huu na wamekua wakitoa kauli zenye kuashiria kutaka kuvuluga umoja amani na mshikanmano wetu hivyo nawataadhalisha watanzania kuwa makini nao kwan  waasiasa hao ni tishio kwa amani ya nchi.

"Katika uchaguzi huu kuna wanasiasa ambao wamekuwa wakatamka na kuandaa mikakati ya kuhakikisha wanavuluga amani kwa kushirikia na raia wa kigeni ambao ni maarufu katika upotoshaji na uvurugaji wa Demokrasia Duniani"

Alisema imekuwa kawaida yangu kuutahadharisha umma pale ninapoona mambo au kuna viashiria vya uvunjifu wa amani na jitihada za wasio itakia nchi mema kuzusha uongo na kumkashifu Rais wetu lazima tuseme na tukemee hii nchi ni yetu amani ni yetu kwa manufaa yetu na siyo ya watu fulani au kikundi cha watu fulani hatuwezi kukaa kimya hata kidogo.

"Kwa mujibi wa taarifa nilizonazo kuna vikundi haya vimeandaliwa na yanalipwa fedha kuhakikisha vinatekeleza matukio ya vurugu  na kuwa tayari kuyakataa matokeo yoyote na kwa namna yoyote vimekwisha pangwa" Anatanabaisha Musiba.

Ufafanuzi kuhusu taarifa ya kizushi ya BBC idhaa ya Kiswahili, Inashangaza kwa chombo chenye hadhi kimataifa kama BBC kuchukua taarifa kutoka mtaani na kuzirusha bila kupata uthibitisho toka mamlaka husika. Mkataba wa Serikali na Barrick sio wa siri.

Mkataba huo tangu usainiwe mwezi Januari mwaka 2020 haujawahi kubadilishwa hakuna mkataba uliosainiwa mwaka 2017 Mwaka huo ndipo mazungumzo yalipoanza baada ya pande zote kusaini Statement of Undertakings.

Misingi muhimu ya kulinda maslahi ya nchi imeendelea kuwa ifuatayo, madini yatachenjuliwa Tanzania na viwanda hivyo vimeanza kujengwa na Barrick wametenga dola milioni 5 kwa ajili ya kutafiti kuhusu ujenzi wa Smelter.

baada ya kujenga Smelter hakuna madini ghafi yatasafirishwa hatua Hii ikihusisha pia madini mengine kama Almasi na Tanzanite na mapato yatokanayo na mauzo ya madini yatahifadhiwa katika benki zilizopo nchini na tayari Barrick wakishafungua akaunti nchini na kufunga akaunti zilizokuwa nje ya nchi. 

Matokeo ya hatua hizo ni kupanda kwa mchango wa sekta ya madini kwa asilimia 52 katika ongezeko la hifadhi ya fedha ya kigeni nchini.