Breaking News

WAZIRI MCHENGERWA AFANYA UTEUZI WA KAMATI YA WADAU WA HAKIMILIKI

Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameteua Kamati ya Wadau wa Hakimiliki nchini ambayo itajadili na kupendekeza namna bora zaidi ya kusimamia Hakimiliki nchini;