Breaking News

CUF YAFANYA KONGAMANO LA KUAMASISHA KUSHIRIKI SENSA

Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF mhe. Injinia Hamad Masoud Hamad akiongoza matembezi ambayo yaliitimishwa nna kongamano kubwa ambalo limefanyika 31 Julai 2022 katika ukumbi wa Mlima Hall manzese jijini Dar es salaam.

Wanachama na wapenzi wa chama cha wananchi CUF ambao wameshiriki katika kongamano hilo ambalo limewakutanisha wanachama wa chama hicho kutoka jijini Dar es Salaam na mikoa jirani katika ukumbi wa Mlina Hall jijini Dar es salaam



Mwonekano wa ndani katika ukumbi wa Mlina Hall ambapo umefanyika kongamano kubwa la kuhamasisha wanachama na wapemzi wa chama cha CUF kujitokeza kuhesabiwa katika Sensa itakayofanyika nchini 23 Agost 2022.