Dodoma: Boniface Kajunjumele Mwabukusi amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha wanasheria cha Tanganyika (TLS).Chini ya sheria mpya, Mwabukusi atadumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu badala ya mwaka mmoja wa awali.