Breaking News

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO AKUTANA NA MWAKILISHI MAALUMU WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA UMOJA WA AFRIKA

Dar es salaam Machi 10, 2026 Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amekutana na mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Mataifa katika Umoja wa Afrika.