KOREA KASKAZINI IMESHUTUMIWA KUFANYA MAJARIBIO MAKOMBORA YAKE MAWILI,
korea kusini imesema kuwa majiani zao Korea kaskazini kwa mara
nyingine tena wamefanyia majaribio makombora yake mawili,
hivyo kuonyesha wazi kukiuka hatua ya umoja wa mataifa kuwekea vikwazo vya kiuchumi, Taarifa zinazoonyesha
kuwa kombora la kwanza halikufanikiwa
huku kombora la pili likisafiri
umbali wa kilomita Mia nne.
Msemajiwa
waziri umoja wa korea kusini JOENG JOON
HEE amesema majaribio hayo ni kukiuka vikwazo ambavyo imewekewa nchi
hiyo na baraza la usalama la umoja wa mataifa.
Amesema
ni vema ulipuaji ya makombora kwa kutumia
teknolojia ya angani inakiuka
maadhimio ya umoja na mataifa pia ni uchokozi dhidi yao,
Ameshauri
ni vyema kwa korea kaskazini kuzidisha
nguvu katika kuimarisha amani
katika eneo la rasi ya korea pamoja na kwa maisha watu wake.
Waziri Mkuu wa Japana, Shinzo Abe,
Naye
waziri mkuu wa Japani SHINZA ABE amelaani hatua hiyo ya korea kaskazin, Kitendo
cha leo kulipuliwa kwa makombora kwa kutumia teknolojia ya angani
iliyotumika zamani huu ni
ukiukwaji wawazi wa Azimio la baraza usalama la umoja wa mataifa , hivyo nchi
yake haitauhusu kufanyika kwa tukio hilo na ataandaa Azimio la kupinga hatua hiyo
amesema waziri huyo,



