Waziri wa michezo Nape nnauye ashiriki Siku ya Kimataifa ya YOGA.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016 katikati ni Balozi wa nchini Mhe. Sandip Aryan na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimia na Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya mara
baada ya kuwasili katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na Balozi Peter Kallaghe kutoka Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika viwanja vya Coco kwenye hafla ya kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016.

Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza katika Siku ya
Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco
leo June 19, 2016 kushoto ni Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya .

Balozi
wa India nchini Mhe. Sandip Arya akizungumza katika Siku ya Kimataifa
ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco leo June
19, 2016 kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga
iliyofanyika katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016 katikati ni Balozi wa nchini
Mhe. Sandip Aryan na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.

Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifanya
mazoezi mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga
iliyofanyika Leo June 19, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akifanya mazoezi katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga iliyofanyika Leo
June 19, 2016 Jijini Dar es salaam kulia ni Balozi Peter Kallaghe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Na Raymond Mushumbusi WHUSM
Watanzania wameaswa kujifunza mchezo wa Yoga ili kuimarisha miili yao na
kujikinga dhidi ya matatizo mengi yanayosababishwa na mfumo wa maisha.
Wito huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye mara baada ya kushiriki katika mahadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Yoga yaliyofanyika katika viwanja vya Coco.
Mhe. Nape Nnauye alisema kuwa mchezo huo unatoa fursa kwa watu wa kabila, dini na mataifa mbalimbali kujumuika pamoja na kujifunza utamaduni na michezo mbalimbali.
“ Yoga sio kwa jamii ya kihindi peke yake ila ni kwa ajili ya watu wote Duniani na nawashauri watanzania wenzangu tujifunze mchezo huu kwa manufaa ya afya zetu na maendeleo ya michezo nchini”.Alisema Mhe. Nnauye.
Kwa upande wake Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya ameshukuru Serikali kupitia Wizara ya abariHhhhhhahahahahwjvuajdsdhAISDUHDWWFUFWEGUA Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kutoa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha Siku ya kimataifa ya Yoga na kuahidi kuendelea kushirikiana zaidi katika kuendeleza michezo nchini.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Shirikisho la Mchezo wa Kabaddi ambao ni wasimamizi wa mchezo wa Yoga nchini Bw. Abdallah Nyoni amesema Siku ya kimataifa ya Yoga ni fursa kwa watanzania kujifunza mchezo huo hasa vijana ili kujenga uwezo kwa watanzania kushiriki katika michezo mbalimbali ikiwa ni juhudi za kuendeleza michezo na na kuongeza ajira nchini.
Yoga ni mazoezi ya kiroho na kimwili yenye asili katika falsafa ya Uhindi, hujumuisha umoja wa roho na mwili, mawazo na matendo na uelewa kati ya mwanadamu na mazingira yanayomzunguka pamoja na mtazamo wa kuijumla wa afya ya binadamu.
Desemba 11,2014,Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha mapendekezo na kukubali azimio ambalo lilitambua Juni 21 kila mwaka iwe siku ya Kimataifa ya Yoga kwa kusambaza taarifa zaidi kuhusu faidi za Yoga duniani.