MHE MAKONDA ATOA UFAFANUZI KUHUSU AGIZO LA KUWAWEKA NDANI WASIO KAZI MAALUM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda
akizungumza ndani ya Power Breakfast Clouds Fm
MKUU wa
mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameamua kuwatolea uvivu wale wote
wanaosambaza
ujumbe wa tofauti juu ya maagizo yake katika mitandao ya kijamii.
ujumbe wa tofauti juu ya maagizo yake katika mitandao ya kijamii.
Makonda
ambaye aliamua kutenga muda na kueleza maswala kadhaa yahusuyo jiji la Dar es
Salaam kupitia kipindi cha Power Breakfast Clouds Fm na 360 ya Clouds Tv juu ya
watu ambao wanaotengeneza account feki za mitandao mbalimbali kupitia jina
lake.
lake.
“Kwanza
wanapaswa kujua kuwa sina account ambayo inanza na cheo changu hivyo account
zote zangu zimeandikwa kwa jina langu Paul Makonda sio vingine hivyo kila mtu
anapaswa kuwa makini na hilo” anasema Makonda.
Anasema
kuwa juu ya agizo batili lililopostiwa katika mitandao ya kijami kuwa wananchi
wasiokuwa na kazi watakwenda jela sio la account yake bali yeye ameagiza
wenyeviti wa serikali ya mtaa kuhakikisha kuwa wanafanya uhakiki wa wakazi wao
nyumba kwa
nyumba kwa ajili ya usalama wa Maeneo wanayokaa.
nyumba kwa ajili ya usalama wa Maeneo wanayokaa.
Anataja
kuwa kutokana matatizo yaliyopo kamwe ataacha kupambana na mafisadi katika
Halmashauri
zote tatu,wauza unga , wafanya biashara wa Shisha na Mashoga.
zote tatu,wauza unga , wafanya biashara wa Shisha na Mashoga.
Hivyo
aliwataka wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kuwa makini na kufuata
maelekezo ya wenyeviti mitaa amabayo
nimewapa hili tuweze kuimarisha ulinzi kuanzi ngazi ya chini kabisa.
nimewapa hili tuweze kuimarisha ulinzi kuanzi ngazi ya chini kabisa.



