MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MAJI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano Mkuu wa 10 wa African Ministers
Council on Water (AMCOW) knew Kituo cha Mimataifa cha Mikutano cha
Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais Mstaafu wa Kenya, Mwai Kibaki kuingia
kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
jijini Dar es salaam kufungua Mkutano Mkuu wa 10 wa
African Ministers Council on Water (AMCOW) Julai 18, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki
kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 10 wa African Ministers Council
on Water (AMCOW) kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Kenya Mwai
Kibaki katika Mkutano Mkuu wa 10 wa African Ministers
Council on Water (AMCOW) kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 18, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)