NAIBU WAZIRI MHE.ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA MITAMBO YA TBC MANYARA
Mkuu
wa Kituo cha TBC Manyara Bw. Mganga Mwanja (wa kwanza kulia)akimweleza
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo (katikati)
Mhe.Anastazia Wambura changamoto ya mitambo waliyo nayo alipotembelea
eneo la mitambo ya kurusha matangazo leo katika Mji wa Babati katika
ziara yake ya kikazi.
Katibu
Tawala Mkoa wa Bw.Manyara Eliakim Maswi akitoa maelekezo kwa Kaimu
Mkurugenzi Mji wa Manyara Bi. Rena Urio leo kabla ya kuanza kwa ziara
ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia
Wambura (wa pili kushoto) kutembelea vivutio vya kiutamaduni vilivyoko
katika Wilaya ya Babati.
Anitha Jonas – MAELEZO,BABATI



