RIPOTI YA UNCTAD 2016; TANZANIA IKO SALAMA KUHUSU DENI LA TAIFA
Afisa wa Masuala ya Uchumi toka
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Biashara na
Maendeleo Bi. Claudia ROETHLISBERGER
(kushoto) akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya UNCTAD ya mwaka 2016
kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika, kulia ni Afisa Habari wa Kituo cha Taarifa
cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC) Bi. Stella Vuzo.
Mtafiti toka Taasisi ya Utafiti na Kupunguza Umaskini nchini (Repoa) Bw. Stephen
Mwombela (katikati) akichangia mada wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya
UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika mapema hii jana
jijini Dar es Salaam.



