Maamuzi Wa Mahakama Kuu Kwa Wabunge 8 Na Madiwani 2 Waliotumbuliwa Na Prof Lipumba
Baadhi ya Wabunge na Madiwali waliovuliwa uanachama Cuf
Mahakama Kuu imetengua kufukuzwa kwa wabunge 8 na madiwani 2
wa CUF na kusitisha pia mchakato wa kuwafukuza uanachama mpaka shauri la msingi
litakaposikilizwa na kutolewa maamuzi
Pia mahakama imemzuia Profesa Ibrahim Lipumba, Magdalena Sakaya na
Bodi ya Wadhamini ya CUF kujadili juu ya uanchama wa wabunge na madiwani hao




