Waziri Mwijage Azindua Ujenzi Wa Jengo La Usambazaji La Cnbm Jijini Dar.
Waziri Wa Viwanda Na Uwekezaji Mhe
Cherles Mwijage, Balozi Wa Serikali Ya Jamhuri Ya Watu Wa China Nchini
Tanzania Bi Wang Ke Wakizindua Ujenzi Wa Kituo Cha Usambazaji CNBM Tanzania Ltd jijini Dar es salaam,
Balozi Wa Serikali Ya Jamhuri Ya
Watu Wa China Nchini Tanzania Bi Wang Ke Akisaini Katika Kitabu Cha Wageni Mara
Baada Ya Kuwasili Katika Uzinduzi Wa Ujenzi Wa Jengo La Kituo Usambazaji CNBM Jijini Dar Es Salaam.
Waziri Wa Viwanda Na
Uwekezaji Mhe Cherles Mwijage Akisaini Katika Kitabu Cha Wageni Mara Baada Ya
Kuwasili Katika Uzinduzi Wa Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Usambazaji CNBM Jijini dar.
Waziri Wa Viwanda Na
Uwekezaji Mhe Cherles Mwijage Akizungumza Wakati Wa Uzinduzi Wa Ujenzi Wa Jengo
La Kituo Cha Usambazaji CNMB jijini Dar es Salaam.
Balozi Wa Serikali Ya
Jamhuri ya watu Wa China Nchini Tanzania Bi Wang Ke Akizungumza Wakati Wa uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Usambazaji CNBM Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti Wa Bodi ya CNBM Group Co Ltd Dkt. Zhiping Song Akizunguza Wakati wa uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Usambazaji CNBM Jijini Dar es Salaam.
Wadau Na Washiriki
Kutoka Taasisi Mbalimbali Wakifatilia Hotuba Ya Waziri Wa Viwanda Mhe Cherles
Mwijage (Hayupo Pichani) Wakati Wa Uzinduzi Wa Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha
Usambazaji CNBM Jijini Dar ea Salaam.
Waziri Wa Viwanda Na Uwekezaji Mhe
Cherles Mwijage, Balozi Wa Serikali Ya Jamhuri Ya Watu Wa China Nchini
Tanzania Bi Wang Ke wakiwa na wadau wengine katika picha ya pamoja Wakati Wa
Uzinduzi Wa Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Usambazaji CNBM Jijini
Dar Es Salaam



