Breaking News

HABARI ZILIZOTUFIKIA IVI PUNDE...MBUNGE WA KINONDONI CUF MHE MTULIA AJIUZULU



Mbunge Wa kinondoni kwa tiketi ya chama cha wananchi Cuf Maulid Mtulia amejiuzulu nafasi yake ya ubunge na nafasi zake uongozi ndani ya chama hicho.