Kampuni Ya TECNO Yawaandalia Wadau Wake Hafla Ya Krisimasi
Katika
Kusherehekea Sikukuu Za Krisimasi Na Mwaka Mpya, Kampuni Ya Simu TECNO
Mobile Ltd Imeandaa Sherehe Za Awali Za Krisimasi Maalumu Kwa Wadau
Wake.
Kusudio Likiwa
Ni Kuwapongeza Na Kutoa Shukurani Kwa Wadau Na Mashabiki Kwa Kuwa Pamoja Na
Kampuni Hiyo Kwa Mwaka Mzima Na Kuwa Mabalozi Wa Kampuni Hiyo Ya Simu.
Sherehe Hiyo
Ilikua Na Ugeni Wa Mtangazaji Maarufu Afahamikae Kwa Jina La “Lil Ommy” Omary
Tambwe Wa Times FM Akiwa Kama Shereheshaji Wa Sherehe Hiyo Iliyoandaliwa Na TECNO.
Hafla Hiyo Ilipambwa Kwa Michezo, Burudani Na Chakula Cha Jioni
Huku Zawadi Mbalimbali Zikitolewa Kwaaajili Ya Mshabiki Na
Wadau Wa Kampuni Hiyo Ya TECNO Waliofika.

“Kiukweli Nimefurahi
Kuwa Hapa, Kuungana Na Wenzangu. Nimepata Nafasi Ya Kuongeza Marafiki Usiku Wa
Leo, Asante Sana TECNO” – Alisema Mmoja Wa Wadau/Shabiki Wa TECNO.
“Mpaka
Sasa Kwa Mwaka Huu Tumeweza Kuwa Na Ushawishi Sana Kwa Upande Wa Mitandao Ya
Kijamii Na Tumeweza Kuwapa Kile Wadau Na Mashabiki Wetu Wanapenda, Nahisi
Ndicho Kilichoweza Kutupa Mabalozi Kama Hawa. Kiukweli Hatuwezi Kuwa Sisi Bila
Ya Watu Kama Hawa Ambao Waipenda Bidhaa Na Kampuni Hivi, Hivyo Ni Sawa Tu Kama
Na Sisi Kama Kampuni Tukatenga Muda Ili Kuweza Kuungana Nao Kusherehekea
Mafanikio Na Pia Sikukuu” – Meneja Mahusiano.
TUNAWATAKIA KHERI YA
KRISIMASI
Tazama Video Ya Yaliojiri Kupitia





