Mamlaka Hali Ya Hewa Yatahadharisha Mvua Kubwa Zaidi

Mkurugenzi mtendaji
mamlaka ya hali ya hewa(TMA) Dk. Agness Kijazi
MAMLAKA ya hali ya hewa
imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo ya mikoa ya Kusini (Lindi na
Mtwara).
Taarifa Na. 201803-02
Daraja la Taarifa:
Tahadhari Kuanzia:
Tarehe 02 Machi 2018, usiku
wa leo
Mpaka:
Tarehe 04 Machi, 2018
Aina ya Tukio Linalotarajiwa
Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24
vinatarajiwa.
Kiwango cha uhakika: Juu:
(80%)
Maeneo yatakayoathirika
Maeneo mengi ya mikoa ya Lindi na Mtwara.
Maelezo: Hali hii inatokana
na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa
mvua (Inter Tropical
Convergency Zone –ITCZ
Angalizo:
Wakazi wa maeneo yaliyotajwa
wanashauriwa kuchukua
tahadhari stahiki na
kuendelea kufuatilia taarifa pamoja na
tahadhari zinazotolewa.
Imetolewa na
Mamlaka ya Hali ya Hewa
Tanzania.



