TECNO KUJA NA KAMERA YA AINA YAKE
Kufuatia matoleo ya
simu mbalimbali yiliyotangulia, TECNO, imekua ikitajwa tajwa huku ikihusishwa
na ujio wa toleo jipya ikikisiwa kuwa ni muendelezo wa matoleo ya Camon, ni
ukweli usiopingika kuwa matoleo ya TECNO-Camon yamekua na kamera nzuri zaidi
kufananishwa na matoleo mengine.

Miongoni mwa vivutizi vinavyoipa simu
kipaumbele, bila shaka simu inatakiwa iwe na kamera yenye megapixel kubwa,
TECNO, wamelizingatia hilo.
Baadhi ya kurasa za mitandaoni zimeihusisha
kampuni ya TECNO juu ya ujio wa toleo jipya likipewa jina la Camon kufuatia
histoia ya kampuni kuzindua Camon CX mwaka jana miezi kama hii, bado hakujawa
na uhakika wa taaifa hizi hivyo ni propaganda tu.

Simu hiyo
inakadiriwa kuwa na megapixel 16 mbele pamoja na flashi maalum kwa picha za
‘’selfie’’, uwezo wa kupiga picha zenye ubora wa HD, kamera yake ya nyuma kuja
na megapixel nyingi zaidi ssambamba na flashi maalum zinaakisi mwanga ili
kupata kuendana na mazingira.

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti
http//www.tecno-mobile.com.



