Mange Amvaa Jokate Baada Ya Ali Kiba Kuoa

Mwanaharakati wa siasa Mtandaoni
Mange Kimambi amemvaa Jokate na kumtolea povu zito baada ya aliyekuwa mpenzi
wake staa wa Bongo fleva Ali Kiba kuoa mwanamke mwingine.
Asubuhi ya Leo Ali Kiba Kamuoa mke
wake Amina huko Mombasa nchini Kenya lakini Ex wake Jokate anashika headlines
ambapo Mange amemjia juu Jokate huku akimcheka kuhusu hilo.
Mange amekuwa akiipinga ndoa hii
kufanyika hivi sasa kwa hofu ya kwamba itazima haraka zake Lakini pia
amekuwa katika vita na Jokate kutokana na Jokate kuwa chama tawala na alikuwa
kiongozi.
Mange amemtolea povu zito Jokate huku
akihusisha ndoa ya Ali Kiba ambapo kwenye ukurasa wa Instagram wa Jokate
aliandika maneno haya:




