Breaking News

Rais MAGUFULI Na Mkewe Mama JANETH MAGUFULI Wasali Ibada Ya Pasaka Katika Kanisa La Mtakatifu Joseph Jijini Dar.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, wakiwa na waumini wengine katika ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na maadh ya waumini katika ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo.