Picha: Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Yafana Jijini Dar es salaam

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha Keki Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate kamba katika Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Wasanii waliohudhuria katika Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumpongeza aliyekuwa katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es salaam Catherin Semuhando baada ya kujivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam.



