Ado Shaibu Achaguliwa kuwa Katibu Mkuu Chama cha ACT Wazalendo.

Wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu wamemchagua Ado shaibu kwa kura zote 75 ambazo ni sawa na asilimia 100% za wajumbe wote.
Akizungumza na mara baada ya kutangazwa bw. Ado amewashukuru wajumbe kwa kumwamini na kumchagua kushika nafasi hiyo nyeti na muhimu katika chama.
"Kwanza nitoe shukran za dhati kwa wajumbe wote wa mkutano wa halmashauri kuu kwa kuniamini na kunichagua kwa kura zote ni imani kubwa mmeonyesha juu yangu na jwa vijana" Alisema bw. Shaibu.
Alisema ushindi huo ni chachu kwake binafsi pamoja na kwa vijana wote na unaonyesha namna chama hivho kinavyotambua na kuamini mchango wa vijana hususani katika uongozi.
Adha katibu huyo mteule akielezea mikakati yake katikka nafasi hiyo mpya alisema ataanza kwa kuakikisha anatekeleza ilani ya chama pamoja na kuhakikisha anakijenga chama katika misingi iliyo bora zaidi.