Matukio Katika Picha: Jukwaa la One Stop Jawabu
Mkuu wa wilaya ya Temeke mhe. Godwin Gondwe Picha ya pamoja ya washiriki wa jukwaa la siku 14 la One stop Jawabu.
Washiriki kutoka Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi zilizo washiriki wakicheza na wasanii katika Jukwaa la One Stop Jawabu jijini Dar es saalam
Kaimu mkuu kitengo cha Tehama Manispaa ya Temeke ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya One Stop Jawabu Bi. Davina Majinge akiongea katika jukwaa la siku 14 katika viwanja vya mwembe yanga Jijini Dar es salaam