Bw. Wolle Fernando Afisa Uhusiano itel mobile tanzania akifafanua jambo katika uzinduzi huo ambao jijini Dar es salaam."Tumeungana na Tigo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wetu waweze kufurahia maisha ya kidigitali kupitia mtandao wa Tigo"