ACT WAZALENDO YATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI
Kiongozi wa chama cha Act wazalendo Dorothy semu ametangaza majina ya walioteuliwa kuunda baraza la mawaziri kivuli la chama hicho.
Akitangaza majina hayo katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam amesema waziri mkuu kivuli ameteuliwa bwana Isihaka Mchinjita na katibu mkuu kiongozi kuwa ni Idrisa Kweweta.
Hii hapa list ya mawaziri vivuli walitangazwa





