TANZANIA KINARA KWA WINGI WA SIMBA AFRIKA, YATAJWA PIA DUNIANI
Tanzania imeibuka kinara kwa kuwa na simba wengi barani afrika mwaka huu.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TAWIRI, Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba wengi zaidi Afrika.
Tanzania inashika nafasi ya kwanza kwa kuwa na idadi kubwa ya Simba kuliko nchi yoyote Afrika, huku ikiwa na asilimia zaidi ya 70 ya wanyama hao barani humo.




