INEC YAKUTANA NA WADAU WA UCHAGUZI KIGOMA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi wa mkoa wa Kigoma uliofanyika leo tarehe 19 Juni, 2024 katika Halmashauri ya Kigoma Ujiji. Tume inataraji kufanya uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 01 Julai, 2024. (Picha na INEC).



