Breaking News

PICHA: WASANII MBALIMBALI WAKIWASILI KATIKA TAMASHA LA MTOKO WA PASAKA

Dar es salaam - Mmoja wa wasanii Kutoka Kikundi cha maarufu wa nyimbo za Injili kutoka kundi la Zabron Singers Akiwasili Ukumbi wa Supa Don Masaki Kwaajili ya Tamasha la Mtoko wa Pasaka Usiku wa Leo.

Aidha Japhet Zabron amezungumzia Mchango wa Moja member wa kundi hilo na Ndugu yake Marco Bukuku ambaye amefariki kuwa Alikua Msaada Mkubwa Hasusani Katika Uandishi wa Nyimbo za Kundi Hilo katika tamasha la mtoko wa pasaka lilofanyika mapema leo April 20, 2025 katika ukumbi wa Super dome jijini dar es salaam 
Msanii maarufu wa nyimbo za Injili, Christina Shusho akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika tamasha la mtoko wa pasaka lilofanyika mapema leo April 20, 2025 katika ukumbi wa Super dome jijini dar es salaam 
Msanii maarufu wa nyimbo za Injili, Solomon Mukubwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika tamasha la mtoko wa pasaka lilofanyika mapema leo April 20, 2025 katika ukumbi wa Super dome jijini dar es salaam