Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume, katika makazi yake, Mbweni - Unguja Zanzibar.
NCHIMBI KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU AMANI KARUME
Reviewed by Harakati za jiji
on
August 14, 2026
Rating: 5