DK. MWAKYEMBE AKITOA ANGALIZO KWA VYOMBO VYA HABARI LEO MJINI DODOMA
Waziri
wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Waandishi wa
Habari leo Mjini Dodoma kuhusu maadili ya Vyombo vya Habari katika
kuhabarisha Umma juu ya miradi ya maendeleo na jinsi vinavyoweza
kuwasidia wananchi kuleta maendeleo na kuepuka kutoa taarifa za
upotoshaji.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Waziri wa Katiba na
Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe na Vyombo vya Habari leo Mjini Dodoma.
(Picha Zote na Frank Mvungi – MAELEZO – Dodoma)



