Breaking News

MV. MAGOGONI KUKAMILIKA AGOSTI MWAKA HUU

MAGO1 
aziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Nchini (TEMESA) Eng. Le- Kujan Manase wakati alipokagua mradi wa ukarabati wa ujenzi wa vivuko vitatu jijini Dar es Salaam.
MAGO2 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbarawa  (kulia) akitoa maelekezo kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Eng. Le- Kujan Manase wakati alipokagua mradi wa ukarabati wa ujenzi wa vivuko vitatu  jijini Dar es Salaam.
MAGO3 
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Eng. Le- Kujan Manase akitoa maelezo ya moja ya kifaa kinachotumika kwenye kivuko cha MV Magogoni kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kulia Profesa Makame Mbarawa  wakati alipokagua mradi huo.
MAGO4Muonekano wa Kivuko cha MV. Magogoni kikiwa kwenye hatua za mwisho za matengezo yanayofanywa na kampuni ya M/S Songoro Marine Transport Courtyard ya Mwanza na TEMESA Jijini Dar es salaam.
MAGO5 
Mtaalam wa kampuni M/S Songoro Marine Transport Cortyard ya Mwanza (Wanne kushoto), akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa alipokagua ukarabati na ujenzi wa Vivuko vya Old Magogoni, Pangani na New Magogoni.
MAGO6 
Mafundi wa M/S Songoro Marine Transport Courtyard ya Mwanza na TEMESA wakiendelea na kazi ya ujenzi wa kivuko kipya  jijini Dar es salaam.