PICHA ZA WAZIRI MKUU NA MATUKIO MAPEMA BUNGENI LEO
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa
Jumanne Maghembe, bungeni mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Bernadeta
Mushashu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Luhaga Jaelson Mpina kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Luhaga Jaelson Mpina kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)