Kheri Apokelewa Kwa Kishindo Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi Ndg:Kheri D James (katikati) akiwasili Ofisi za Makao makuu ya
Chama Cha Mapinduzi Taifa kushoto kwake ni Ndg Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka.
Ndg: Rodrick Mpogolo Naibu Katibu Mkuu wa
Chama cha Mapinduzi akimpokea Mwenyekit wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi alipowasili Makao makuu ya chama cha mapinduzi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi Ndg: Kheri D James akizungumza katika mkutano huo
|
Mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Dodoma akiwasilisha
salamu za vijana wa mkoa wake kwa mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa.
Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa
Chama Cha Mapinduzi ndg:Shaka Hamdu Shaka akizungumza.
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
mapinduzi ndg:Thabia Mwita akizungumza na vijana wa Umoja wa Vijana wa chama
cha mapinduzi katika viwanja vya makao makuu ya ccm dodoma.
Kikundi cha chipukizi kikitoa burudani
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi ndg:Kheri D James akipokea wanachama wapya 200 toka vyama
mbalimbali vya upinzani pichani ni alie kuwa katibu wa chama cha ACT WAZALENDO
mkoa wa Mwanza ndg: Gwanchele.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg:Kheri D James
akizungumza na Vijana wa mkoa wa dodoma katika hafla ya kumkaribisha
iliofanyika makao makuu ya CCM DODOMA
Meza kuu
PICHA ZOTE NA
FAHADI SIRAJI



