SHEREHEKEA MSIMU WA SIKUKUU NA TECNO

TECNO tunakukaribisha wewe mteja wetu kutoka nchi
nzima katika msimu wa sikukuu na ofa kabambe zinazowapa fursa ya kuweza
kufurahia msimu huu kwa kushinda zawadi mbalimbali kupitia maduka yetu ya TECNO
katika mikoa ya Arusha, Mwanza na Dar es salaam.
Wateja watakao nunua Phantom 8, Camon Cx
& Cx Air, TECNO spark, Spark + ,wataingia/utaingia kwenye bahati nasibu na
kujishindia Tiketi ya basi kwenda mikoa mbalimbali kuungana na familia zao/yako
bila kusahau kuponi maalum za chakula ,tiketi za sinema kwa mkoa wa Dar es
salaam, saa za kuvutia za mkononi na zawadi nyinginezo kemkem.

Wateja
watapata punguzo la bei Tsh 20,000/= kwa atakae nunua simu janja (Smartphone)
mbili kwaajili ya wapendwa wao, moja katika ya hizo simu mbili ndiyo itakayo
pata punguzo la bei la Tsh 20,000/=. Pia kutakua na bahati nasibu ya zawadi
zinginezo mbalimbali
Ofa hizi kabambe zinapatikana
maduka ya TECNO mkoani Mwanza,
Arusha na Dar es salaamna kutumika kuanzia tarehe 15/12/2017 mpaka
15/1/2018.



