Breaking News

Video:TAARIFA YA MEYA WA UBUNGO AKIFAFANUA KUHUSU KUZICHAPA NA MHE GODBLESS LEMA

Image result for meya wa ubungo
Meya wa Ubungo(Chadema), Boniface Jacob ameeleza kilichotokea kati yake na Mbunge wa Arusha Mjini(Chadema), Godbless Lema baada ya taarifa kusambaa kuwa wamepigana kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho.

Taarifa hizo zimeeleza kuwa Lema alikuwa anamtuhumu Mbunge wa Kibamba (Chadema),Mhe John Mnyika kuwasaliti na kuwa na mipango ya kuhamia CCM ndipo Jacob aliposimama na kumwambia Lema aache kumsingizia Mnyika mambo ya kipuuzi ndipo Lema alipomrushia ngumi meya huyo.

Msikilize Hapa Meya Wa Ubungo Boniface Jacob Akizungumza==>>