Hatimaye Jacob Zuma Atangaza Kujiuzulu Urais

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
ametangaza kujiuzulu.
Chama tawala nchini Africa kusini cha
ANC, kimepokea tangazo la kujiuzulu kwa Jacob Zuma katika nafasi yake ya Urais.
Afisa mmoja mwandamizi wa chama hicho
amesema hatua hiyo italeta utulivu wakati nchi inakabiliwa na changamoto
mbalimbali, Ameongeza kusema kuwa ANC haisherehekei hatua hiyo, kutokana na
kwamba Zuma amekitumikia chama hicho kwa miaka 60.
Awali kupitia televisheni Bwana Zuma
alisema hakubaliani na mahitaji ya uongozi wa ANC kwamba anapaswa kujiuzulu, lakini
amejiuzulu ili kuepusha ghasia ambazo zingechafua jina lake.
Makamu wa Rais wa Africa kusini Cyril
Ramaphosa atapigiwa kura na wabunge kama mkuu wa nchi na baadaye kula kiapo
ndani ya siku chache zijazo.
SOMA ZAIDI HAPA
South Africa's embattled President
Jacob Zuma has resigned his office with immediate effect.
He made the announcement in a
televised address to the nation on Wednesday evening.
Earlier, Mr Zuma's governing ANC
party told him to resign or face a vote of no confidence in parliament on
Thursday.
The 75-year-old has been under
increasing pressure to give way to Deputy President Cyril Ramaphosa, the ANC's
new leader.
Mr Zuma, who has been in power since
2009, faces numerous allegations of corruption.
His resignation came at the end of a
long speech in which he said he disagreed with the way the ANC had acted
towards him.
He said he did not fear a motion of
no confidence, adding: "I have served the people of South Africa to the
best of my ability."
Source: BBC



