Naibu Waziri Mavunde Kalazwa Morogoro

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira
na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro
akisumbuliwa na homa kali.
Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia leo Jumapili 18 march baada ya kujisikia vibaya na saivi anaendelea kupatiwa matibabu.
Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia leo Jumapili 18 march baada ya kujisikia vibaya na saivi anaendelea kupatiwa matibabu.



