WADAU WATARAJIA KITU TOFAUTI KUTOKA TECNO
Kufuatia ongezeko la matumizi ya simu za mkononi, makampuni
mbali mbali yamekua yakija na matoleo tofauti ili kufanya vema sokoni,TECNO
wakiwa ndo kampuni pendwa zaidi katika kuzalisha kile kinachomstahili mteja
Tayari pameshakua na minong’ono ya hapa na pale baina ya wadau wa simu janja “smart phone” ikiinyooshea vidole kampuni ya TECNO, kwa kuihusisha kampuni hiyo na ujio wa toleo jipya ambayo ni muendelezo wa Camon.
Mbali
na picha mbalimbali zilizozagaa mtandaoni zikionesha muonekano tofauti wa simu
hiyo mpya kuzinduliwa, tayari kurasa za mitandaoni zimezua mijadala inayokosa
majibu sahihi kuhusiana na simu hiyo, baadhi wakiifananisha simu hiyo mpya
kutoka TECNO na zile za kampuni ya Samsung na Apple.
Wadau
wamekua na shauku ya kutaka kujua ni kitu gani cha tofauti ambacho TECNO
wameweza kukiongeza kwenye toleo hilo jipya
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya http//www.tecno-mobile.com/tz





