List Ya Wachezaji 30 Wanaowania Tuzo Ya Mchezaji Bora Ligi Kuu (VPL) 2017/2018.

Afisa habari wa TFF Clifford Mario Ndimbo
ametangaza majina ya wachezaji 30 walioteuliwa kuwania Tuzo ya mchezaji bora wa
Ligi Kuu Tuzo ambazo zitafanyika June 23 katika Ukumbi wa Mlimani City.
Habibu Kiyombo, Hamis
Mcha, Yahya Zaid, Kelvin Yondani, Razack Abarola, Aggrey Morris, Himid Mao, Awesu
Awesu, Adam Salamba, Mohamed Rashid, Shafiki Batambuze, Mudathir Yahya, Marcel
Kaheza Na Adam Salamba.
Wengine ni Eliud
Ambokile, Shabani Nditi, Tafadzwa Kutinyu, Ibrahim Ajibu, Gadiel Michael, Papy
Tshishimbi, Obrey Chirwa, Aishi Manula, Emanuel Okwi, John Bocco, Jonas Mkude, Erasto
Nyoni, Shiza Kichuya, Asante Kwasi, Hassan Dilunga Na Bruce Kangwa.



